• Latest News

  May 24, 2016

  CHEKI BRENDAN RODGERS ALIVYOTUA CELTIC NA KUPOKELEWA KWA SHANGWE


  Kocha wa zamani wa Liverpool, Brendan Rodgers ametua Celtic ya Scotland.

  Kocha huyo aliyekuwa nje ya mchezo wa soma tokea Oktoba 4, mwaka jana alipotimuliwa kazini na Liverpool, amepokelewa kwa shangwe kubwa na mashabiki wa Celtic ya Scotland. Angalia ilivyokuwa shangwe.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: CHEKI BRENDAN RODGERS ALIVYOTUA CELTIC NA KUPOKELEWA KWA SHANGWE Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top