Header Ads

Cyrill Kamikaze Akanusha Kuwa na Uhusiano na Mrembo Kidoa Rapper Cyrill Kamikaze akiwa na video Queen wake wa katika video ya ‘Shori’ Kidoa.
Rapper Cyrill Kamikaze amekanusha kuwa na uhusiano na video Queen wake wa katika video ya ‘Shori’ Kidoa.

Akiongea na E-Newz, Cyrill amesema kuwa yeye na video queen huyo ni washkaji tu. Kuna tetesi kuwa Cyrill alimtosa mwanamke wake wa zamani ili awe na mwananadada huyo.

Kuna picha ambayo Kidoa alipost na kuandika: He is ma real Ma, huku zikiwa zimebebwa na picha za Cyrill. Hata hivyo rapper huyo amekanusha kwa kudai, “Watu tu wameamua kuichukulia hivyo lakini hakuwa huko.”
A photo posted by 🌴 I Am Kidoa🌴 (@kidoasalum) on

A photo posted by 🌴 I Am Kidoa🌴 (@kidoasalum) on

A photo posted by 🌴 I Am Kidoa🌴 (@kidoasalum) on

😂😂😂 @cyrill_kamikaze

A video posted by 🌴 I Am Kidoa🌴 (@kidoasalum) on

With my bad bway @cyrill_kamikaze .. Hivi tunaonekana kama tunajali? ... #twocrazypeople .. #baadayakutokaporini

A photo posted by 🌴 I Am Kidoa🌴 (@kidoasalum) on

She bad #thereissomething #aboutherpersonality 😋 #aquietfreakbeautifulgoodandbadgirlathesametime 🙉 @kidoasalum

A photo posted by Cyrill Kamikaze (@cyrill_kamikaze) on

With my bad gal @kidoasalum .. Hivi tunaonekana kama tunajali? ... #twocrazypeople .. #baadayakutokaporini

A photo posted by Cyrill Kamikaze (@cyrill_kamikaze) on

No comments