Header Ads

Diamond na Mafikizolo walivyoitingisha Dodoma… Waziri Nape kahudhuria pia

May 12 2016 kundi maarufu la muziki kutoka Afrika Kusini Mafikizolo pamoja na staa wa bongofleva Diamond Platnumz waliitoa burudani ya nguvu kwa watu wao wa Dodoma kwenye show iliyoitwa ‘Colors of Afrika’ iliyofanyika kwenye chuo kikuu cha UDOM kwa usimamizi wa Vodacom ambao wameitambulisha kwa Watanzania Internet ya 4G.
AW1A9121
Watu wa nguvu Dodoma
AW1A9131
AW1A9136
AW1A9162
AW1A9184
Waziri Nape Nnauye
AW1A9201
AW1A9339
AW1A9343
AW1A9362
Diamond on stage
AW1A9379
Diamond Platnumz na Mo j
AW1A9389
AW1A9430
Le Mutuz
AW1A9459
Kifesi kazini
AW1A9560
AW1A9602
Diamond alipokea zawadi ya picha kutoka kwa shabiki wake


PICHA NA MILLARDAYO.COMAW1A9611

No comments