Header Ads

Gadner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu waziri aingilia kati..


Naibu Waziri wa Afya, Watoto, Jinsia, Wanawake na Wazee, Hamis Kigwangalla aishauri Clouds Media imtake mtangazaji wake Gadna amuombe radhi Lady Jay Dee kufuatia kauli yake ya kudhalilisha

-Gadna alisema "Sina neno na yule mtoto wa kike, nimeshamkojoza kwa miaka kama 15 hivi"

Kisha Dj akapiga Ze ndi ndi ndi na Gadna kuanza kucheza kwa mbwembwe zote.

No comments