Header Ads

Gigy Money Matonya kuna kitu, wanaswa wakiwa pamoja

Video queen asiyeishiwa vituko Bongo, Gift Stamford ‘Gigy Money’ akiwa katika pozi na mbongo Fleva, Seif Shaban ‘Matonya’.

Habari zilizoenea wikiendi iliyopita zilidai kwamba, kuna kitu kinaendelea kati ya video queen asiyeishiwa vituko Bongo, Gift Stamford ‘Gigy Money’ na lejendi wa Bongo Fleva, Seif Shaban ‘Matonya’ kufuatia kusambaa kwa picha zao kwenye mitandao ya kijamii zikiwaonesha wakiwa  kwenye mahaba mazito.

 Kwa mujibu wa watu wa karibu wa wawili hao, kuna
uwezekano mkubwa Matonya akawa ndiyo amefika kimapenzi kwa Gigy lakini wapo wanaosema mwanadada huyo anatafuta kiki. Wikienda lilimsaka Matonya ili afungukie kinachoendelea lakini alipokosekana hewani, alitafutwa Gigy ambapo alifunguka
Gigy, Matonya kuna kitu!
juu ya ishu hiyo: “Hizo ni picha tu, kama watu wanataka kumjua shemeji yao wasiwe na haraka kwani watamuona ‘soon’.”

No comments