• Latest News

  May 30, 2016

  Hii ndio ngoma Harmonize kaamua amwimbie mpenzi wake Wolper

  Penzi la Harmonize na Wolper lnazidi pamba moto hadi imefikia mpaka Harmonize kumtambulisha Wolper kwa mama yake mzazi. Harmonize alimtambulisha Wolper kwa mama yake mzazi akiwa katika show yake huko Mtwara.

   Inasemekana kua Harmonize kadata na penzi la Wolper hadi kaamua kumtungia wimbo akielezea jinsi gani anampenda Wolper. Unaweza uskiliza hapa chini na itakua poa sana ukituachia maoni yako kuhusiana na wimbo huu
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Hii ndio ngoma Harmonize kaamua amwimbie mpenzi wake Wolper Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top