• Latest News

  May 01, 2016

  HIVI NDIVYO LEICESTER WALIVYOSAFIRI NA BASI KUIFUATA MANCHESTER UNITES LEO WAKILITAKA KOMBE LAO


  Ni safari ya saa mbili au mbili na robo hivi kwa basi kutoka katika mji Leicester hadi katika jiji la Manchester nchini England.

  Leicester City wanataka kuwa mabingwa wa England. Wanachotakiwa ni kuifunga Manchester United katika mechi ya leo kwenye Uwanja wa Old Trafford.

  Jana waliamua kusafiri kwa muda huo kutoka kwao hadi Manchester ili kuwavaa wenyeji ambao sasa wanaonekana kuwa vizuri.

  Itakuwa  mechi tamu ya kuangalia na hakika kila mmoja angependa kuiona.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: HIVI NDIVYO LEICESTER WALIVYOSAFIRI NA BASI KUIFUATA MANCHESTER UNITES LEO WAKILITAKA KOMBE LAO Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top