Header Ads

HOFU YA BOMU, MASHABIKI MAN UNITED WATOLEWA UWANJANI OLD TRAFFORD, MECHI YACHELEWA KUANZA


Mashabiki wapatao 20,000 wametolewa nje kwenye Uwanja wa Old Trafford na kusababisha kuchelewa kuanza kwa mechi katyi ya Manchester United dhidi ya Bournemouth.

Taarifa inaeleza ni hofu ya bomu ndiyo iliyosababisha hali hiyo baada ya kuonekana kwa mzigo mdogo ambao haukuwa na mwenyewe.
No comments