• Latest News

  May 28, 2016

  Lowassa Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Japani Hapa Nchini


  May 27 2016, aliyekuwa mgombea Urais mwaka jana kwa tiketi ya Chadema na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan hapa nchini, Masahau Yoshida.
  Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Lowassa ameandika; "Nimekutana na rafiki yetu Balozi wa Japan hapa nchini Masaharu Yoshida, nikiwa pamoja na viongozi wote wa wilaya yetu ya Monduli.
  "Mbali ya kumshukuru Balozi Yoshida kwa misaada mbalimbali wanayoitoa ila zaidi tulijadiliana jinsi gani ya kufanya muendelezo na mikakati ya kuchukulia misaada hii kama nyezo za kufikia malengo ya maendeleo na sio njia ya utegemezi kiuchumi"- Lowassa
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Lowassa Akutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa Japani Hapa Nchini Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top