Header Ads

Lulu Diva adaiwa kuvaa makalio feki...afunguka

Muuza nyago kwenye video za wasanii wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ anadaiwa kuvaa makalio feki, jambo ambalo linamkosesha amani kwani ndivyo alivyojaliwa. 


Akizungumza Lulu Diva alisema kuwa mara nyingi amekuwa akipata malalamiko kutoka kwa watu mitandaoni wakidai wanamjua, hakuwa hivyo na kumshutumu kuwa anavaa makalio feki ili aonekane amejazia nyuma.

 “Kuna watu wanajifanya wananijua sana lakini hata siku moja sijawahi kununua makalio feki, mimi ndivyo nilivyo siku zote, wanaosema nimeongezea wamekosea mahesabu kabisa,” alisema Lulu Diva.

No comments