Header Ads

MABINGWA WAPYA WA ENGLAND, LEICESTER CITY AMBAO WAMEBEBA KOMBE WAKIWA NA MECHI MBILI MKONONI

KIKOSI CHA LEICESTER CITY KINACHONOLEWA NA CLAUDIO RANIERI RAIA WA ITALIA, NDIYO MABINGWA WAPYA WA ENGLAND BAADA YA SARE MABAO 2-2 KATI YA TIMU ZA LONDON, CHELSEA NA TOTTENHAM KATIKA GAME ILIYOMALIZIKA HIVI PUNDE IKIWA IMETAWALIWA NA UBABE ILE MBAYA.

No comments