Header Ads

MAHADHI ATUA YANGA, ATAMBULISHWA PAMOJA NA KESSY TAIFA

Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Yanga, Jerry Muro akiwatambulisha wachezaji wapya wa timu hiyo, kiungo Juma Mahadhi (kulia) kutoka Coastal Union ya Tanga na beki Hassan Kessy (kushoto) kutoka Simba SC jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kabla ya fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) kati ya timu hiyo na Azam FC 

No comments