Header Ads

Manchester United yashinda bao 1-0 dhidi ya NorwichTimu Ya Man Utd imeshinda bao 1-0 dhidi ya Norwich mfungaji ni Juan Mata dakika ya  72 na  kufikisha pointi 63 nyuma ya Man City nye pointi 64 .
Man City wanacheza kesho na Arsenal ambayo ipo nafasi ya tatu ikiwa na pointi 67.No comments