Header Ads

Matukio ya Kumbukumbu ya Miaka 3 Tangu Kifo cha Ngwea Ukumbi wa Maisha Basement

MMADJS WAKIFANYA YAOM TO THEK.R MULLA AKIFANYA YAKEJAY MOOJAY
O.M.G SANDE MJEDA LINEX TID NA JAY MO TID TIII  M TO THE P 
 Hatimaye miaka 3 imekatika tangu mfalme wa free style nchini Albert Mangweha ‘Ngwea’ kufariki dunia akiwa Afrika Kusini.
Wasanii kibao jana walijitokeza katika katika Ukumbi wa Maisha Basement uliopo Kijitonyama jijini Dar kwa ajili ya kumkumbuka ya mkali huyo wa kurap.
Baadhi ya mastaa waliohudhuria ni M 2 Tha P, T.I.D. Dudu Baya, Jay Mo, KR Mulla, K.Sal, Mapacha, Belle 9, Linex, Mirror, Kundi la O.M.G, B.O.B, Country Boy pamoja na msanii ambaye anafanana na marehemu Ngwea maarufu kama ‘Ngwea Feki.’
Enzi za uhai wake Ngwea aliwahi kutamba na nyimbo kama vile Dakika Moja, Geto Langu, Sikiliza, Napokea Simu, Tingisha aliyofanya na Jay Mo na zinginezo.
Na Gabriel Ng’osha/GPL

No comments