Header Ads

MKUU WA MKOA WA DAR ATEMBELEA OFISI ZA WASAFI


IKIWA ni moja ya kutambua na kuthamini mchango wa vijana katika kukuza tasnia ya sanaa hapa nchi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda jana usiku alitembelea ofisi za Kampuni inayomilikiwa na staa wa Bongo Fleva, Nasbu Abdul "Diamond Paltinums" Wasafi Classic Baby (WCB) zilizopo Sinza Mapambano Dar na kuzungumza na wafanyakazi wa kampuni hiyo maneno mawili matatu ya kuwatia moyo.
Diamond ameandika hiki.
diamondplatnumzShukran sana sana Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam @PaulMakonda kwa kututembelea katika Office zetu za @Wcb_Wasafi jana usiku.... ujio wako Umetutia nguvu na Moyo mkubwa katika ufanisi wa kazi zetu.... Hakika wewe ni kiongozi wa pekee....Tunashkuru kwa Ushauri, muongozo wako mzuri na Muda wako wa thamani ulioupendekeza kwetu Jana!... ijapokuwa kaofisi ketu ndio kanaanza ila naamini uliona tunavyo hakikisha kudhibiti na kuzingatia USAFI Kuanzia Ofisini hadi Maeneo yatuzungukayo kama Mh Rais John Pombe na wewe Mlivyoagiza..

No comments