• Latest News

  May 24, 2016

  MOURINHO AITAKA MANCHESTER UNITED MPYA, WACHEZAJI HAWA HAPA NA BEI ZAO...


  Mara tu atakapotangazwa kuwa Kocha mpya wa Manchester United, kocha Jose Mourinho atataka kuboresha kikosi chake.

  Wachezaji wengi sana anaweza kuwatazama lakini wake ambao bei zao ni juu na wengine wake huru kama Zlatan Ibrahimovich.

  HAWA HAPA NA BEI ZAO, KAZI KWAKE
  Nemanja Matic - Chelsea - £25million
  Joao Mario - Sporting Lisbon - £35m
  Antoine Griezmann - Atletico Madrid - £63m
  Gonzalo Higuain - Napoli - £72m
  John Stones - Everton - £45m
  Raphael Varane - Real Madrid - £35m

  Alvaro Morata - Juventus/Real Madrid - £40m
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MOURINHO AITAKA MANCHESTER UNITED MPYA, WACHEZAJI HAWA HAPA NA BEI ZAO... Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top