Header Ads

Nicki Minaj amempa Meek Mill hii saa kama zawadi kwenye birthday yake

Meek Mill na Nicki Minaj wanazidi kuthibitisha kuwa wao ni Power Couple baada ya kuonekana pamoja wakiwa na raha kwenye siku ya kuzaliwa ya Meek Mill.

Nicki Minaj amesafiri mpaka nyumbani kwa Meek Mill akiwa na zawadi ya saa kali aina ya Rolex, iliyotengenezwa maalum kwa Meek Mill na mbunifu mambo hayo Joe the Jeweler.
No comments