Header Ads

Party ya Wema Sepetu iliyoandaliwa na Team Wema, Idris pembeni

Ni miongoni mwa mastaa wachache wa Tanzania wenye mashabiki wengi, mwigizaji huyu na Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu aliandaliwa party na watoto wa kitanzania wanaomkubali (Team Wema) na hivi ndivyo ilivyokua  (CREDIT: AYO TV)

No comments