Header Ads

PICHA & VIDEO: Kikosi cha uteguaji mabomu kilivyowasili Old Trafford kufanya uchunguzi wa bomu

May 15 2016 michezo ya mwisho ya kukamilisha Ligi Kuu Uingereza msimu wa 2015/2016 iliendelea kama kawaida, ila mchezo kati ya Man United dhidi ya AFC Bournemouth uliyokuwa uchezwe katika uwanja wa Old Trafford umeahirishwa kutokana uwanja huo kuhofiwa kutokuwa na hali nzuri ya kiusalama.
3432E53800000578-3591435-Police_and_sniffer_dogs_were_in_the_ground_after_they_were_told_-a-48_1463323680639
Mchezo huo umehairishwa muda mchache ukiwa unatazamiwa kuanza, hiyo kutokana na uwanja wa Man United Old Trafford ambao una uwezo wa kuchukua mashabiki 75000 kuhisiwa kuwa bomu, hivyo kutokana na hali za kiusalama, mashabiki waliokuwa wameingia uwanjani kuangalia mchezo huo kuanza kutolewa nje.
3432FCE000000578-3591435-A_bag_is_searched_in_the_stands_prior_to_the_match_being_abandon-a-59_1463323680912
Baada ya kuahirishwa kwa mchezo huo kati ya Man United dhidi ya AFC Bournemouth, ratiba ya lini utachezwa mchezo huo imetajwa kuwa ni Jumanne ya May 17 2016.
3432FB7000000578-3591435-At_around_3_20pm_the_remaining_fans_from_all_the_stands_began_to-a-57_1463323680860
34341E4200000578-3591435-image-a-21_1463335648741 (1)
Rashford alipokuwa akiondoka Old Traford baada ya kuambiwa sehemu hiyo sio salama,

No comments