• Latest News

  May 10, 2016

  Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Akagua Daraja la Nyerere Leo  Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akipewa maelezo ya awali na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, alipokagua daraja hilo leo Mei 10, 2016. Kulia ni Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka.

  Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akionyeshwa barabara zinazopishana ya juu na ya chini, alipokagua daraja ya Nyerere, Dar es Salaam, leo Mei 10, 2016.

  Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiuliza jambo, alipokagua daraja la Nyerere, Dar es Salaam, leo Mei 10, 2016. Kushoto ni Mama Salma Kikwete.

  Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitembea kwenye daraja la Nyerere, Dar es Salaam, leo Mei 10, 2016, walipokagua daraja hilo.

  Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akitazama moja ya ofisi zitakazotumiwa na magari kulipia ushuru wa kutumia daraja la Nyerere, alipokagua daraja hilo leo Mei 10, 2016. (Picha na Bashir Nkoromo).
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Akagua Daraja la Nyerere Leo Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top