• Latest News

  May 15, 2016

  Safari Ya Mwisho Ya Mtoto Wa Issa Michuzi Maggid Muhidini Michuzi

  Baba wa marehemu (mwenye kofia), Issa Michuzi akipewa pole na baadhi waombolezaji mara baada ya maziko ya mtoto wake Maggid Muhidin Michuzi (18) yaliyofanyika katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam jana.

  Waziri Mkuu mstaafu, Joseph Sinde Warioba akimpa pole Issa Michuzi.
  Rais Mstaa mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete akiagana na Issa Michuzi.
  Issa Michuzi (mwenye kofia) akifuatiwa na Rais mstaafu Jakaya Kikwete (kulia kwake) na viongozi wengine wa serikali wakati maziko.
  Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Mhandisi John Kijazi akiweka udongo
  Mke wa Rais mama Janeth Magufuli (kulia) akiwa na baba wa marehemu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Safari Ya Mwisho Ya Mtoto Wa Issa Michuzi Maggid Muhidini Michuzi Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top