• Latest News

  May 30, 2016

  Shilole na Vanessa walipokutana kwenye Stage Usiku wa May 29 2016 Club Billcanas

  Huenda wewe ulikuwa ni moja kati ya watu waliokuwa wameshtushwa na taarifazilizokuwa zimeenea wiki mbili zilizopita kuwa Vanessa Mdee na Shilole wana bifu, ukweli umejulikana usiku wa May 29 2016, kuwa haikuwa bifu bali ni promo ya show yao ya pamoja waliofanya usiku huo.
  3X6A9861
  Dakika chache kabla ya Show Vanessa Mdee akiwa backstage alinukuliwa akisema “Kiukweli haukuwa ugomvi bali tulijaribu kuwaonesha watu kuwa usiamini kila unachokiona kwenye mitandao, namuheshimu sana Shilole katika kazi zake, lakini baada ya sisi kufanya vile watu walionekana kama wanataka kuona sisi tukigombana”
  3X6A9862
  3X6A9876
  3X6A9878
  3X6A9879
  3X6A9893
  3X6A9894
  3X6A9897
  3X6A9898
  3X6A9906
  Vanessa alimsurprise Shilole On Stage kwa kumletea zawadi ya ugali kwenye stage
  3X6A9914
  3X6A9915
  3X6A9919
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Shilole na Vanessa walipokutana kwenye Stage Usiku wa May 29 2016 Club Billcanas Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top