• Latest News

  May 08, 2016

  Spika wa Bunge Afungua Mkutano Wa Chama Cha Wabunge Wanaopambana Na Rushwa

  Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akifungua Semina wa Chama cha Wabunge wanaopambana na Rushwa-Tanzania Mjini Dodoma leo tare 8 Mei, 2016.

  Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akifungua Semina wa Chama cha Wabunge wanaopambana na Rushwa-Tanzania Mjini Dodoma leo tare 8 Mei, 2016
  Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai ( katikati  pamoja na viongozi wengine wakifuatilia uwasilishwaji wa mada wakati wa Semina wa Chama cha Wabunge wanaopambana na Rushwa-Tanzania. Wengine katika ni , Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angela Kairuki  (kushoto) na Cecilia Paresso (Mb) – Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho.
  Wakili wa kujitegemea Bw. Said Yakubu akiwasilisha mada wakati wa Semina wa Chama cha Wabunge wanaopambana na Rushwa-Tanzania.

  (Picha na Ofisi ya Bunge)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Spika wa Bunge Afungua Mkutano Wa Chama Cha Wabunge Wanaopambana Na Rushwa Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top