• Latest News

  May 07, 2016

  STAA WEMA SEPETU AJA KIVINGINE KATIKA JAMII YAKE  Miss Tanzania huyo wa zamani na muigizaji wa filamu, ameanzisha mradi mpya alioupa jina ‘Wema na Jamii’ ambapo ameanza kuzunguka kwenye shule mbalimbali jijini Dar es Salaam kuongea na wanafunzi na kuwapa vitu mbalimbali.

  Yeye mwenyewe anasema #WemaNaJamii #MkonoWaBaraka #MtotoWakoNiWangu. Tazama picha hizo chini.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: STAA WEMA SEPETU AJA KIVINGINE KATIKA JAMII YAKE Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top