• Latest News

  May 09, 2016

  TANZIA: MICHUZI AFIWA NA MWANAE

  Ankal Issa Michuzi anasikitika kutangaza kifo cha mwanae Maggid Muhidin kilichotokea jana Jumapili huko Durban, Afrika Kusini, alikokuwa masomoni.

  Mipango ya kuusafirisha mwili wa marehemu inafanywa, msiba utakuwa Tabata Mawenzi jijini Dar es salaam ambako ratiba ya mazishi itatoka mara tu baada ya mwili kuwasili.

  Habari ziwafikie ndugu, jamaa, majirani na marafiki popote pale walipo.

  Innalillah wa inna ilayhi raajiun
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: TANZIA: MICHUZI AFIWA NA MWANAE Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top