Header Ads

Lema: Ukawa waondoa hotuba yao ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi


Baada ya kamati ya kanuni na uongozi wabunge kuifanyia kazi na kuondoa vipengele hotuba ya kambi ya upinzani mambo ya ndani kama mauwaji ya kisiasa. Nyumba za serikali, Mkataba wa
Lugumi, uchaguzi wa Zanzibar sakata la NIDA na Wizi wa Rada.Tumeamua kuiondoa hotuba Yote

No comments