Header Ads

VAN GAAL AMETIMULIWA KAZI, SASA NJIA NYEUPE KWA JOSE MOURINHO


Klabu Manchester United imetangaza kumtimua kazi Kocha Louis van Gaal.

Van Gaal raia wa Uholanzi ametimuliwa kazi siku chache tu baada ya kuiwezesha Man United kubeba Kombe la FA.

Van Gaal ametimuliwa huku taarifa kukiwa na taarifa za Man United kumwajili Jose Mourinho.

No comments