Header Ads

VIDEO: FC Bayern Munich yatolewa Ligi ya Mabingwa Ulaya na Atletico Madrid (All Goals & Match Highlights)


Mchezo wa Alianz Arena umemalizika kwa FC Bayern Munich kuibuka na ushindi wa goli 2-1, ila hiyo haikuisaidia kutinga hatua ya fainali, kutokana na kutolewa na Atletico Madrid kwa aggregate ya goli 2-2. Magoli ya FC Bayern yalifungwa na Xabi Alonso dakika ya 31 na Robert Lewandowski dakika ya 74, huku goli la Atletico lilifungwa na  Antoine Griezmann.

No comments