Header Ads

Video: Seline - Njoo ...Msanii mpya kwenye gemu chini ya Nahreel na Aika Pia.


Seline ni kati ya wasanii watatu waliotambulishwa Rasmi na The Industry iliyo chini ya Uongozi wa Nahreel akisaidiana na Aika Pia.
Nyimbo inaitwa Njoo imetengenezwa The Industry by Producer Nahreel.

2 comments:

  1. templet ya sasa haiko vizuri kama ya mwanzo kwa maoni

    ReplyDelete
  2. Hii ni nzuri zaidi ya mwanzo kwa sasa ipo simple na fast to use katika simu compare na ya mwanzo ilikuwa nzito katika simu HII HOPE MTAIPENDA tunaendelea kuifanyia maboresho zaidi

    ReplyDelete