• Latest News

  May 13, 2016

  Wimbo mpya wa Alikiba ft M.I kutoka Nigeria ‘Aje’ unaosambaa mitandaoni

   
  Mkali wa bongo fleva Alikina May 12 jina lake limegonga tena headlines baada ya wimbo wake mpya ‘Aje’ kuvuja lakini habari zinaeleza  kuwa video ya wimbo huo mpya wa Alikiba aliomshirikisha rapper kutoka Nigeria M.I utaanza kuoneshwa kwa mara ya kwanza MTV Base Ijumaa ya May 13 2016 ila audio yake imesambaa mitandaoni kwa maana ya kuvuja unaweza kuisikiliza hapa mtu wangu

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Wimbo mpya wa Alikiba ft M.I kutoka Nigeria ‘Aje’ unaosambaa mitandaoni Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top