Header Ads

Wizkid, Chidinma Ekile wamemaliza rasmi bifu lao!


STAA wa muziki Nigeria, Chidinma Ekile na staa mwenzake wa muziki nchini humo, Ayodeji Balogun ‘Wizkid’ wamemaliza rasmi bifu lao na inaelezwa kuwa kwa sasa mambo safi. 

Akizungumza katika mahojiano na Kituo cha Runinga cha MTV Base, Wizkid LAGOS, NIGERIA
ANDREW CARLOSZIMEANDALIWA NA :
CHIDINMA,
MKONGWE  alianza kwa kukiri kuwa na bifu na Chidinma kwa muda mrefu na hawakuwa wakiongea. 

“Nilikuwa na bifu na Chidinma kwa muda mrefu. Sidhani kama mlikuwa mkitambua hilo lakini ukweli ndiyo huo. 

 Wizkid, Chidinma Ekile wakiwa pamoja.

 Kwa sasa tupo safi na tegemeeni kolabo kuonesha upendo na yeye,” alisema Wizkid. Awali, Wizkid alikuwa akimtaka kimapenzi Chidinma lakini alishindwa na kuishia kuweka bifu baada ya kubaini kuwa anatoka kimapenzi na staa mwenzake wa muziki, Mr. Flavour.
CREDIT: ANDREW CARLOS

No comments