• Latest News

  May 08, 2016

  YANGA BINGWA VPL kwa mara ya pili mfululizo wakiwa na mechi tatu mkononi  Yanga Bingwa.
  Wameubeba ubingwa kwa mara ya pili mfululizo wakiwa na mechi tatu mkononi.

  Msimu uliopita walibeba ubingwa wakiwa na mechi mbili mkononi, lakini safari hii wamechukua wakiwa na mechi tatu. Hii imetokana na Simba kupokea tena kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Mwadui FC.

  Kutokana na kipigo Yanga inabeba ubingwa ikiwa na pointi 68 ambazo hata kama Simba itashinda mechi zake tatu zilizobaki, itafikisha pointi 67 na Azam FC ikishinda mbili zilizobaki itakuwa na 66.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: YANGA BINGWA VPL kwa mara ya pili mfululizo wakiwa na mechi tatu mkononi Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top