Header Ads

YANGA ILIVYOINYAMAZISHA STAND UNITED BAO 3-1

 YANGA IMEZIDI KUPAA KWENYE MSIMAMO WA LIGI KUU BARA KWA KUITANDIKA STAND UNITED KWA MABAO 3-1. WASHAMBULIAJI DONALD NGOMA NA AMISSI TAMBWE WAMEFUNGA MABAO YOTE MATATU NGOMA AKIFUNGA MAWILI. CHEKI PICHAAAAAZZZZ....
No comments