Header Ads

YANGA WAFANYA MAZOEZI YAO YA MWISHO UWANJA WA TAIFA TAYARI KWA WAANGOLA


Kikosi cha Yanga chini ya Kocha Hans van der Pluijm, kimefanya mazoezi yake ya mwisho kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar kabla ya kuivaa Esperanca ya Angola.


Yanga inawavaa Waangola hao katika mechi ya Kombe la Shirikisho itakayopigwa kesho kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar.
No comments