• Latest News

  June 04, 2016

  Amanda apondwa kivazi cha bichi


   Amanda Posh
  STAA wa sinema za Kibongo, Amanda Posh amejikuta katika wakati mgumu mara baada ya kuposti picha katika Mtandao wa Instagram inayomuonesha akiwa amevaa kigauni cha kuogelea na kuacha sehemu kubwa ya mgongo wazi. 

  Mara baada ya kuposti picha hiyo, wafuasi wa mtandao huo walianza kumponda: “Mh! Mgongo wenyewe mbaya, kwani lazima ujioneshe? Sijui anafanya biashara!” mmoja wa wafusi wa Instagram aliponda. Akiizungumzia picha hiyo Amanda alisema: “Wanaoponda ni wivu tu. Najiamini ni mzuri, acha waseme tu.”
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Amanda apondwa kivazi cha bichi Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top