• Latest News

  June 08, 2016

  HATIMAYE MANCHESTER UNITED YAMTWAA BAILLY, NI YULE RAIA WA IVORY COAST

  Hatimaye Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho amekamilisha alichokuwa anakitaka baada ya kumsajili beki Eric Bailly tai a wa Ivory Coast.


  Bailly aliyekuwa anakipiga Villarreal au Manyambizi wa Hispania, ana umri wa miaka 22 tu na Man United imemwaga pauni million 30 kumpata katika mkataba wa miaka minne.

  TAKWIMU:
  Espanyol B (2013-14) – Mechi 21
  Espanyol (2014-15) – Mechi 5,
  Villarreal (2015-) – Mechi 46, bao 1 
  Ivory Coast (2015-) –Mechi 15   • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: HATIMAYE MANCHESTER UNITED YAMTWAA BAILLY, NI YULE RAIA WA IVORY COAST Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top