• Latest News

  June 22, 2016

  HII NDIYO SURA YA MWAMUZI MZAMBIA ALIYEPEWA RUNGU NA CAF AAMUE YANGA VS TP MAZEMBE PALE TAIFA

  Mchezo wa kuwania Kombe la Shirikisho Barani Afrika kati ya Young Africans ya Dar es Salaam, Tanzania na TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), utachezeshwa na Mwamuzi Janny Sikazwe wa Zambia.
  Sikazwe atasaidiwa na Jarson Emiliano dos Santos kutoka Angola atayekuwa kwenye mstari wa kulia (line 1) na Berhe O’Michael wa Eritrea atayekuwa upande wa kushoto (line 2) huku Wellington Kaoma wa Zambia akiwa ni mwamuzi wa akiba. Kamishna wa mchezo huo atakuwa Celestin Ntangungira wa Rwanda. Pia mchezo huo utakuwa na Mratibu Mkuu Maalumu kutoka Msumbiji, Sidio Jose Mugadza.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: HII NDIYO SURA YA MWAMUZI MZAMBIA ALIYEPEWA RUNGU NA CAF AAMUE YANGA VS TP MAZEMBE PALE TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Nico Trac
  Scroll to Top