• Latest News

  June 21, 2016

  HII NI KWA TAARIFA YAKO TU: MASHABIKI WAPATAO 40,000 WA ICELAND WAHAMIA UFARANSA


  Soka raha sana. Mashabiki wa Iceland ambayo nchini yao si maarufu sana katika mchezo wameamua kuhamia nchini Ufaransa kwa muda.

  Mashabiki wapatao 40,000 wako nchini Ufaransa kuiunga mkono timu yao ya taifa inashiriki michuano ya Euro 2015.


  Kinachovutia zaidi, watu 40,000 tu ni robo ya wananchi wote wa Iceland na wote wameona waende wakaiunge mkono timu yao ya taifa.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: HII NI KWA TAARIFA YAKO TU: MASHABIKI WAPATAO 40,000 WA ICELAND WAHAMIA UFARANSA Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top