Header Ads

HIVI NDIVYO VIFAA VYA KAZI VYA JOSE MOURINHO AKIANZA KUISUKA MAN UNITED


Kocha mpya wa Manchester United, Jose Mourinho ameanza kazi rasmi.

Ametupia mtandaoni baadhi ya vifaa atakavyovitumia wakati wa kipindi cha maandalizi kabla ya kuanza kwa msimu mpya.


Mourinho ameeleza kuwa kwake ni kipindi cha kufurahia ujengaji mpya wa kikosi.

No comments