Header Ads

Ibaki Story ya Rich Mavoko ni Ngoma Mbovu Kuliko zote WCB

Maoni Kutoka kwa Mdau wa Muziki:
Hii ngoma ni mbovu kuliko Rich alivyowahi kuimba miaka ya nyuma....Ngoma iko too flat haina rise and fall ya sauti!

Wakastuka kuwa haito kiki faster faster wakatoa video yake on spot! Mbaya zaidi video ilikochukuliwa ni sehemu ile ile alikofanyi harmonise ngoma aliyokuwa na Diamond!

Hapo ndio video inapoboa zaidi ukichanganya na wimbo ambao haujafata Ala za kimziki!

By Czer/Jamii Forums

No comments