Header Ads

Kama hukupata mualiko wa Party maalum ya Shetta

Msanii wa Bongo Fleva ambaye kwa sasa anatamba na video ya hit single ya wimbo wake mpya ‘Namjua’ usiku wa June 2 2016 alifanya party na kutoa mualiko kwa watu mbalimbali ambao wamekuwa wakimsapoti katika muziki wake kwa kiasi kikubwa, huenda ulitamani kuhudhuria Party ya Shetta ila hukupata mualiko, badi video ninayo hapa.

No comments