Header Ads

Kanga Moja Kiunoni...Mbengembenge - 5

ILIPOISHIA : “Mzee Hewa naisubiri kwa hamu kubwa hiyo dozi,” mama Mei alimsindikiza kwa maneno hayo. *** Alasiri ya saa tisa, mzee Hewa alirudi kabla baba Mei hajarudi, alimkuta mama Mei amekaa nje kwenye mkeka... SASA ENDELEA... “Pole mzee Hewa, inabidi uoe sasa...maana kama hivi umerudi huna wa kukupikia,” alisema mama Mei kwa sauti iliyojaa utani... “Kama wewe upo mimi sina haja ya kuoa,” mzee Hewa naye alirudisha utani... “Wee! Unataka kupigwa mzee Hewa? Hivi hapa nilikuwa nakusubiri kwa hamu kubwa unipe hiyo dozi uliyoahidi,” alisema mama Mei...

“Njoo ndani nikupe dozi yake,” mzee Hewa alisema akiingia. Mama Mei alisimama, akamfuata mzee huyo kwani ni kweli kutoka moyoni alitamani sana kupata ufumbuzi juu ya wivu mkubwa alionao mume wake, baba Mei. Mzee Hewa alizama hadi chumbani, mama Mei yeye akasimama akijua mzee huyo atatoka... “Pitapita mama Mei pita,” alisema mzee Hewa huku akiangalia mlangoni. Hapo alikuwa sebuleni kwake, sebule ambayo ilisheheni vitu vya kisasi licha ya uzee wake... “He! Mzee Hewa, mpaka niingie ndani jamani?” aliuliza mama Mei huku akifungua mlango. Mzee Hewa alisimama, akafunga mlango na funguo kisha akazichomoa... “Sikiliza mama Mei, mimi pamoja na uzee wangu huu lakini sijawahi kukutana na mwanamke mzuri kama wewe. Nahisi wewe ni jini,” alisema mzee Hewa, mama Mei akaogopa kwa nini mzee huyo alifunga mlango. Hapo alikuwa amesimama tu akimwangalia. “Kwa hiyo licha ya kukupa ushauri hebu jaribu leo fanya kama umepotea njia, nikate kiu yangu kwako.” “Mzee Hewa, huogopi?” “Niogope nini sasa?” “Mume wangu akirudi ghafla?” “Kwani muda wake wa kurudi si jioni!” “Je, akiamua leo kurudi mapema?”
“Sasa kwani atafikia kwangu? Si atafikia kwake,” alisema mzee Hewa akiwa amesimama na kumshika mama Mei... “Mzee Hewa please, unachotaka kunifanyia sasa ni kunibaka...please mzee wangu, nakuheshimu kama babu yangu, usijivunjie heshima mzee Hewa.” Mama Mei alimshika mzee Hewa na kumsukumia kwenye kochi, akamuomba funguo... “Nipe funguo mzee Hewa nitoke la sivyo napiga kelele...” “Funguo sikupi, piga kelele, watu si watajiuliza umeingiaje sebuleni kwangu, we piga kelele uone utakavyoumbuka mwenyewe,” alisema mzee huyo huku akisimama na kumshika tena mama Mei, safari hii wakaenda wote kwenye kochi, tii. Lakini mama Mei ndiye aliyeanza kuanguka, akafuatia mzee Hewa. Na mbaya zaidi, mama Mei kule nje alikokuwa amekaa, alivaa kanga tu. moja ilikatiza kwenye nido, nyingine ilikatisha kwenye kiuno, juu mabega yalikuwa wazi, joto! Na pia hakuvaa kufuli! Mzee Hewa alifanikiwa kujipindua, akashuka chini akipiga magoti, mama Mei akawa amelala akitaka kunyanyuka lakini alishindwa... “Mama Mei kuwa mstaarabu bwana, kwani kuna ubaya gani kwa mara moja tu kama bahati mbaya?” “Tatizo lako mzee Hewa unadhani mimi ni mwanamke malaya, noo!
Ninajitambua mzee wangu, niachie nitoke,” alijitetea mama Mei. Mzee Hewa bwana akafanikiwa kukamata nido moja na kuliminya  kama mtu anayejaribu parachichi kuona kama limeiva au la! Mama Mei akashtuka, akaminya macho na kuyafanya kuwa madogo sana kama aliyetaka kusinzia... “Mama Mei,” mzee Hewa aliita... “Bee!” “Vipi, unajisikia vibaya?” Mama Mei alikubali kwa kutingisha kichwa tu kwani alishindwa kusema. Mzee huyo alichofanya sasa, alipeleka mkono na kutawala sehemu yote ya kifua akishika nido kwa zamu huku akimpulizia hewa mama Mei usoni na kumhemea kwenye masikio hali iliyommaliza nguvu kabisa mama Mei. Ili ajiridhishe kwamba ni mshindi, mzee Hewa alisimama huku mama Mei akiwa bado amelala, akamshika mkono na kumwinua, mama Mei akainuka, akasimama, akamvutia chumbani kwake, mama Mei akafuata nyuma mpaka kitandani... Je, baada ya mama Mei kuingia chumbani kwa mzee Hewa kilijiri nini? Usikose kusoma Jumatatu ijayo.

No comments