Header Ads

Kanga Moja Kiunoni...Mbengembenge -7

 

ILIPOISHIA : “Mzee Hewa, mume wangu kasema anakuja muda huuhuu, please nakuomba basi tupange siku nyingine...” “Siku nyingine ni leo binti, we kubali yaishe,” alisema mzee huyo huku sasa akilazimisha denda. 
SASA ENDELEA KIVYAKO... Mama Mei alijiachia, akapoteza nguvu za kupambana, mzee Hewa akamchojoa kanga na kuzitupia chini... “Mzee Hewa,” mama Mei aliita kwa sauti ya chini sana... “Nini?” mzee huyo aliitika kwa sauti ya utemi... “Basi twende kwako lakini si humu chumbani ninapolala mimi na mume wangu...chondechonde...” “Hapahapa... muda huuhuu!
Nakujua wewe, nikibadili mawazo tu utanikimbia kama saa zile...” “Kweli tena siwezi kukukimbia, niamini mimi baby wangu,” ilibidi mama Mei atumie jina la mahaba ili kumlainisha mzee huyo akubaliane na matakwa yake... “Mbona kule kwangu ulinikimbia?” alihoji mzee Hewa akiwa anajiandaa kuingia uwanjani tayari kwa mchezo wa kulazimisha... “Please mzee Hewa, twende kwako utajiachia unavyotaka...hata ukitaka mara saba mimi niko tayari lakini isiwe humu ndani kwangu si vizuri bwana, halafu wewe unajua,” alisema mama Mei kwa sauti ya kutia huruma huku akimwangalia mzee huyo kwa macho ya kulegea. “Hapana,” mzee Hewa alikataa katakata. Mama Mei akapiga kelele za juu akisema... “Ja...ma...ni e...e...” alitaka kusema ‘jamani ee nabakwa huku’, lakini mzee Hewa alimuwahi akamziba midomo, sauti yake haikutoka kwenda mbali na mbaya zaidi, kwa muda huo, ndani ya nyumba ile hakukuwa na mtu mwingine zaidi ya wao wawili tu. Kitendo cha mama Mei kupiga kelele hizo kilimkera sana mzee Hewa kwani alijua kama atakuwa amesikika, watu wakifika ina maana yeye atakuwa na tuhuma za kutaka kumbaka mwanamke huyo, akaamua kuongeza nguvu zaidi ili kumpata. Na kweli, nguvu za mwanaume ni
za mwanaume tu, mzee Hewa alimzidi mama Mei, akamlazimisha kuingia kwenye mechi. Hali hiyo nayo sasa, ikamfanya mama Mei kulainika, kwani hakuwa na namna ilibidi atoe ushirikiano wa kina ili mzee huyo amalizane naye awe huru kwani wasiwasi wa kufumaniwa na mumewe ulimtawala. “Basi sawa mzee Hewa lakini kumbuka mume wangu anakuja kutoka kazini,” alisema mama Mei huku akikazana. Mzee Hewa dakika tano tu mbele akawa hoi. Hakusubiri kupoa, akatoka na kukimbilia kwake huku mama Mei akikimbilia bafuni. *** Mama Mei alikuwa mpole, alikaa sebuleni kwa muda akimtafakari mzee Hewa. Ilivyo ni kwamba, tangu amefunga ndoa na baba Mei, mama Mei hakuwahi kufikiria kuchepuka, sasa kitendo cha mzee huyo kumchepusha kilimpa wakati mgumu sana... “Da! Mzee Hewa kaniweza kweli... kweli leo nimechepuka?! Halafu kwanza hakuna starehe yoyote ile kama tunakimbizana vichakani bwana!” aliwaza moyoni mwanamke huyo. Kutoka moyoni mwake, alimchukia sana mzee Hewa... “Basi angekubali tukaenda kwake, chumbani kwangu?! Mzee huyu hamnazo kabisa. Iko siku yake,” alisema mama Mei na kusimama kwenda kuendelea na kazi za nyumbani lakini
huku moyoni akiendelea kuwaza... “Kwanza ameniacha hivihivi kama alivyonikuta...halafu hiyo dozi aliyosema atanipa ili mume wangu aache wivu hajanipa...au... au dozi yenyewe ndiyo ...mh!” hakumalizia mama Mei, akajikuta anakunja sura kwa hasira endapo kama kweli dozi yenyewe ndiyo vile alivyomfanyia. *** Mzee Hewa kwake alishangilia ushindi kwani alitoa la moyoni kwa vitendo. Aliamini kwamba, sasa akimwona mama Mei na umbo lake tata hataumia sana kwani amehusika kulifahamu kama anavyolifahamu mume wake, baba Mei. *** Jombi aliporudi kutoka kazini alioga, akabadili nguo na kwenda baa akipitia njia inayokatisha nje ya nyumba ya mama Mei akiamini atamwona mwanamke huyo. Ni kweli kabisa, wakati Jombi anapita nje ya nyumba hiyo, mama Mei alikuwa akitoka nje kwa lengo la kwenda kwenye baa ambayo Jombi alikuwa anakwenda. Mama Mei yeye alitumwa bia na mume wake... Je, nini kitaendelea? Usikose kusoma siku ya  I Jumatatu ijayo.

No comments