• Latest News

  June 08, 2016

  KIPRE AHAMIA UARABUNI, AONEKANA AKIPIGA BATA NA MKEWE...


  Huku gumzo la kwamba anakwenda Yanga, Oman au anabaki Azam FC likiendelea, mshambuliaji nyota wa Azam FC, Kipre Tchetche ameamua kwenda Dubai kula bata.

  Kipre raia wa Ivory Coast ameonekana ‘akila maisha’ na mkewe Prisca pamoja na kijana mmoja katika moja ya hoteli za kifahari za Dubai.

  Tayari Azam FC ilishatoa ufafanuzi kwamba Kipre ni mali yake, lakini inaonekana Yanga imekuwa ikitamani kumjumuisha kwenye safu yake.  08 Jun 2016
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: KIPRE AHAMIA UARABUNI, AONEKANA AKIPIGA BATA NA MKEWE... Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top