Header Ads

KWA MFUMO HUU WA MAN UNITED, ALEX FERGUSON BADO NI BOSI WA JOSE MOURINHO

HILI NDILO JEDWALI LA MFUMO WA UONGOZI WA KLABU YA MANCHESTER UNITED NA INAONEKANA ALEX FERGUSON AMBAYE NI BALOZI KAMA ILIVYO KWA BOBBY CHALTON NA DAVID GILL WANAKUWA NI MABOSI WA KOCHA MPYA JOSE MOURINHO HASA KATIKA SUALA LA UAMUZI.

No comments