Header Ads

MANE ATUA LIVERPOOL KWA PAUNI MILIONI 30, SOUTHAMPTON YAZIDI KUBOMOKA

Liverpool imekubali kumwaga pauni million 30 kumpata mshambuliaji Sadio Mane kutoka Southampton.

Mane raia wa Senegal, leo alikuwa akifanyiwa vipimo tayari kujiunga na Liverpool.


Takwimu:
Offsides: 27
Fouls: 44
Yellow cards: 5
Red cards:
Appearances: 44
Goals: 11
Assists: 6
Shots: 65

No comments