• Latest News

  June 09, 2016

  Maria Sharapova kukata rufaa

  Katika Tenisi tunasubiri kuona iwapo Maria Sharapova atakata Rufaa kupinga kufungiwa miaka miwili baada ya kugundulika kwamba alitumia dawa za kusisimua misuli.

  Maria ameanza kujitetea kuwa alikuwa anatumia Dawa ya Meldonium kwa ajili tatizo la kiafya alilogundulika nalo tangu akiwa na miaka 17 lakini aliyejua ni baba na wakala wake tu, hata madaktari hawakuwa wamefahamishwa.

  Awali dawa hizo hazikuwa katika Orodha ya Dawa zilizozuiliwa mpaka hapo zilipoongezwa mapema mwaka huu.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Maria Sharapova kukata rufaa Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top