• Latest News

  June 03, 2016

  MAZOEZI YA MWISHO YA STARS KABLA YA KUWAVAA MISRI KESHO


  Wakati Watanzania wamekuwa wakihimizwa kujitokeza kwa wingi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuiunga mkono Taifa Stars wakati ikiivaa Misri katika mechi ya kuwania kucheza Kombe la Mataifa Afrika, timu hiyo leo imefanya mazoezi ya mwisho.

  Stars imefanya mazoezi yake ya mwisho kwenye uwanja huo, tayari kabisa kwa mechi ya kesho.

  Wachezaji wa Stars walionekana wanajiamini na wako tayari kwa ajili ya mechi hiyo ya kesho. Kikubwa ni kwenda kuwaunga mkono tu.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: MAZOEZI YA MWISHO YA STARS KABLA YA KUWAVAA MISRI KESHO Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top