• Latest News

  June 14, 2016

  Microsoft kununua Linkedln kwa dola bilioni 26  Kampuni ya Microsof imetangaza kuwa itanunua mtandao wa taaluma wa Linkedln kwa kima cha dola bioni 26.
  Inaamika kuwa ununuzi huo utasaidia Microsoft kuongeza mauzo ya biasaara yake na programu zake za emali na pia kupenya kwenye mtandao mkubwa zaidi wa taaluma duniani.
  Linkedln ina zaidi ya wanachama milioni 430 kote duniani.
  Microsoft ilisema kuwa Linkedln itaendelea kudumisha tamaduni na uhuru wake.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Post a Comment

  Item Reviewed: Microsoft kununua Linkedln kwa dola bilioni 26 Rating: 5 Reviewed By: 2jiachie
  Scroll to Top