Header Ads

MZAMBIA CHIRWA ATUA DAR NA KUSAINI MKATABA, KAMILISHA IDADI YA WAGENI, JANGWANI WAFANYA KUFURU YA USAJILI


Obey Chirwa raia wa Zambia ametua nchini leo na anasaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Yanga.

Chirwa kutoka FC Platinums ya Zimbabwe ametua leo saa 12 kasoro jioni tayari kujiunga na Yanga ina itamwaga zaidi ya dola 100,000 (Zaidi ya Sh milioni 200) ili kumalizana na timu yake na mshambuliaji huyo.


Mshambuliaji huyo mwenye kasi aliyekuwa tegemeo la Platinums anajiunga na Yanga na kukamilisha idadi ya wachezaji wa kigeni.

No comments